Habari
KAWAIDA ATEMBELEA MRADI WA MAJI WA MIJI 28 GEITA.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg. Mohamed Kawaida ametembelea Mradi wa Maji wa Miji 28 Geita. Ndg. Kawaida akiwa ameamb...
SALAMU ZA PONGEZI.
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa GEUWASA tunakupongeza Bi. Rose Zacharia Ambrose kwa kuaminiwa na kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta...
KIKAO CHA BODI KUU YA WAKURUGENZI ROBO YA PILI MWAKA WA FEDHA 2025/2026
Leo tarehe 06/02/2026 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bi. Patricia Sam Kampambe ameongoza kikao cha Bodi Kuu ya Wakurugenzi Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 202...
UBORESHAJI WA HUDUMA YA MAJI KATORO – BUSERESERE
Wataalam wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) wakiendelea na kazi ya kuboresha miundombinu ya Maji ili kuhakikisha huduma ya maji inakuw...
UBORESHAJI WA HUDUMA YA MAJI KATORO - BUSERESERE
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) Mhandisi Frank Changawa akiambatana na Meneja uzalishaji na usambazi Maji Mha...
MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJI.
Wataalam wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) wamekamilisha matengenezo ya bomba ya Inch 6 iliyokuwa imepata hitilafu eneo la sheli ya P...
ZIARA YA WAJUMBE WA BODI MENEJIMENTI NA WATUMISHI WA GEUWASA KATIKA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA BABATII
Ziara ya Wajumbe wa Bodi Menejimenti na Watumishi wa GEUWASA walipotembelea Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Babati ( BAWASA ) kwa ajili ya kubadilisha...
Zoezi la ulazaji wa bomba kuu la kupeleka Maji katika Tenki la Senga lenye ujazo wa lita 700,000 linaendelea
Zoezi la ulazaji wa bomba kuu la kupeleka Maji katika Tenki la Senga lenye ujazo wa lita 700,000 linaendelea

