Habari
MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJI
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) Mhandisi Frank Changawa pamoja na Wataalamu wa GEUWASA, wanafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha huduma ya Maji kwa wakazi wa Wigembya inaimarika na kuwa endelevu.