emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Habari

UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI WA MIJI 28.


Zoezi la uchomeleaji bomba linalopeleka Maji katika tenki la kuhifadhia Maji eneo la Kaseni lenye ujazo wa lita 200,000 pamoja na usukaji wa nondo za nguzo za tenki linaendelea katika eneo la Kaseni.