Habari
KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MWAKA MPYA WA FEDHA
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) Mhandisi Frank Changawa,mapema leo tarehe 05/07/2024 amefanya Kikao Kazi kwa aj...
MATENGENEZO YA BOMBA KUBWA YAMEKAMILIKA.
Matengenezo ya bomba la Maji la inchi 9 lililokuwa limepasuka Maeneo ya Msuka Kanisani yamekamilika. Hitilafu hiyo iliathiri hali ya upatikanaji wa huduma ya...
MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA GEITA (GEUWASA) IMETIA SAINI MKATABA WA MAKABIDHIANO YA MRADI WA MAJISAFI MANGA
Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) imetia saini Mkataba wa makabidhiano ya Mradi wa MajiSafi Manga Kata ya Mgusu Wilaya ya Geita kutoka k...
UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MAJI KATIKA KATA YA NYANGUKU.
Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) imekamilisha zoezi la kurejesha huduma ya Maji katika Kisima cha kijiji cha kakonda katika kata ya Nya...
GEUWASA MREJESHO
Matengenezo ya Bomba kubwa linalotoa Maji katika Chanzo cha Uzalishaji Maji Nyankanga hadi tenki la Katoma yamekamilika.
UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MAJI KATIKA KATA YA IHANAMILO
Baada ya kilio cha muda mrefu kwa wakazi wa Ihanamilo Mtaa wa Wigembya hatimaye Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) imewafikia na kuimaris...
MKUU WA WILAYA YA GEITA AKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI BULELA - NYASEKE NA SHILOLELI.
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe.Hashim Komba amefanya Ziara katika eneo la utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Bulela - Nyaseke na Shiloleli unaotekelezwa na Mkandaras...
TIMU YA MAAFISA KUTOKA MAMLAKA YA UDHIBITI WA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI (EWURA) PAMOJA NA WIZARA YA MAJI WAKIENDELEA NA ZOEZI LA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU
TIMU YA MAAFISA KUTOKA MAMLAKA YA UDHIBITI WA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI (EWURA) PAMOJA NA WIZARA YA MAJI WAKIENDELEA NA ZOEZI LA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU YA MAJI...

