Habari
UBORESHAJI WA HUDUMA YA MAJI KATORO – BUSERESERE
Wataalam wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) wakiendelea na kazi ya kuboresha miundombinu ya Maji ili kuhakikisha huduma ya maji inakuwa endelevu kwa wakazi wa Katoro – Busereere na kuzuia upotevu wa Maji.