Habari
UBORESHAJI WA HUDUMA YA MAJI KATORO - BUSERESERE
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) Mhandisi Frank Changawa akiambatana na Meneja uzalishaji na usambazi Maji Mhandisi Isack Mgeni wametembelea eneo la katoro – Busereere ambako zoezi la uboreshaji wa huduma ya maji linaendelea.