Habari
UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MAJI KATIKA KATA YA NYANGUKU.
Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) imekamilisha zoezi la kurejesha huduma ya Maji katika Kisima cha kijiji cha kakonda katika kata ya Nyanguku