Habari
MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJI.
Wataalam wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) wamekamilisha matengenezo ya bomba ya Inch 6 iliyokuwa imepata hitilafu eneo la sheli ya PetroAfrica.
Kwasasa wakazi wa Stand,Tambukareli,EPZ na baadhi ya maeneo ya Magogo wanaendelea kufurahia huduma ya maji.
#geuwasatunatekeleza