emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Matangazo

MATENGENEZO YA BOMBA KUBWA YAMEKAMILIKA.


Matengenezo ya bomba la Maji la inchi 9 lililokuwa limepasuka Maeneo ya Msuka Kanisani yamekamilika. Hitilafu hiyo iliathiri hali ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa wateja wa Nyankumbu na viunga vyake na kusababisha mabadiliko ya ratiba ya mgao wa maji kuelekezwa maeneo ya Bomani,Nyamalembo,Mseto,Rwenge,Katoma,General Tyre na Compaund.Kwasasa huduma ya Maji imerejea kwa wateja wa NYankumbu. Wasiliana nasi kwa namba 0800750060 GEUWASA huduma kwa wateja.