emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Matangazo

BILI / ANKARA YA MWEZI JUNI


Ndugu mteja fahamu kuwa bili/ankara kwa matumizi ya Juni 2024 zimeshatumwa kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno ( SMS ).Fanya malipo yako sasa kwa kutumia mitandao ya simu au Benki washirika. kwa msaada zaidi wasiliana nasi kwa namba 0800750060.