Matangazo
ZOEZI LA USOMAJI DIRA ZA MAJI LINAENDELEA
Ndugu Mteja tunakukumbusha kuhakiki usomaji wa Dira yako pindi upokeapo ujumbe ( SMS) katika simu yako.
Pia tunawaomba Wateja kutoa ushirikiano kwa Watumshi wetu pindi wanapopita eneo husika.
Tunawakumbusha pia kuwasiliana nasi pale ambapo Dira yako haijasomwa.
Piga 0800750060 bure
lipa bili yako sasa.