Habari
GEUWASA MREJESHO
Matengenezo ya Bomba kubwa linalotoa Maji katika Chanzo cha Uzalishaji Maji Nyankanga hadi tenki la Katoma yamekamilika.
UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MAJI KATIKA KATA YA IHANAMILO
Baada ya kilio cha muda mrefu kwa wakazi wa Ihanamilo Mtaa wa Wigembya hatimaye Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) imewafikia na kuimaris...
MKUU WA WILAYA YA GEITA AKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI BULELA - NYASEKE NA SHILOLELI.
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe.Hashim Komba amefanya Ziara katika eneo la utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Bulela - Nyaseke na Shiloleli unaotekelezwa na Mkandaras...
TIMU YA MAAFISA KUTOKA MAMLAKA YA UDHIBITI WA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI (EWURA) PAMOJA NA WIZARA YA MAJI WAKIENDELEA NA ZOEZI LA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU
TIMU YA MAAFISA KUTOKA MAMLAKA YA UDHIBITI WA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI (EWURA) PAMOJA NA WIZARA YA MAJI WAKIENDELEA NA ZOEZI LA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU YA MAJI...
MKUU WA WILAYA YA MBOGWE MHE.SAKINA JUMANNE MOHAMED AKUTANA NA WAZIRI WA MAJI PAMOJA NA KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI.
Leo tarehe 10 June 2024 Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Mhe.Sakina Jumanne Mohamed akiambatana na katibu Tawala wa Mbogwe pamoja Meneja Usambazaji Maji kutoka Mamlaka...
MABORESHO YA HUDUMA
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) Mhandisi Frank Changawa ameanza zoezi la ufuatiliaji wa maeneo yenye changamoto...
MKUU WA WILAYA YA GEITA AMEISISITIZA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA GEITA KUKAMILISHA MRADI WA MAJI WA NYANKANGA KABLA YA MWEZI JULAI 2024.
Mhe:Hashim Komba amesema hayo katika ziara yake katika eneo la utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Utanuzi wa Mtambo wa Kutibu Maji Nyankanga ambapo amepata taarifa...
MKURUGENZI MTENDAJI WA GEUWASA AKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI BULELA - NYASEKE NA SHILOLELI
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafiri wa Mazingira Geita (GEUWASA) Mhandisi Frank Changawa ametembelea eneo la utekelezaji wa Mradi wa Maji wa B...