Habari
GEUWASA YAFANYA KIKAO KAZI CHA TATHMINI YA HALI YA UPATIKANAJI WA HUDUMA YA MAJI WILAYANI MBOGWE.
Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) imefanya kikao kazi na Madiwani pamoja na Viongozi mbalimbali wa Wilaya ya Mbogwe katika maeneo inay...
WANAWAKE GEUWASA WAUNGANA NA WENZAO KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.
Watumishi Wanawake wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) wameungana na wenzao kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani ambayo kw...
GEUWASA YASHIRIKI MKUTANO WA BODI ZA WAKURUGENZI NCHINI.
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Bi. Patricia Sam Kampambe wameshiriki...
GEUWASA YAWAPA TABASAMU WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MBUGANI.
Watumishi wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbugani Kitengo c...
KUNDO ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI WA MIJI 28 GEITA.
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo A. Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Miji 28 kwa Mji wa Geita kutoka katika Chanzo cha Maji cha...
ZIARA YA KAMATI YA USALAMA WILAYA YA MBOGWE KWENYE MRADI WA MAJI MASUMBWE.
Kamati ya Usalama Wilaya ya Mbogwe ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambae ni Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Mhe. Sakina Mohamed, imetembelea Mradi wa Uboreshaji wa Hudum...
KAWAIDA ATEMBELEA MRADI WA MAJI WA MIJI 28 GEITA.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg. Mohamed Kawaida ametembelea Mradi wa Maji wa Miji 28 Geita. Ndg. Kawaida akiwa ameamb...
SALAMU ZA PONGEZI.
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa GEUWASA tunakupongeza Bi. Rose Zacharia Ambrose kwa kuaminiwa na kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta...

