Habari
MKUU WA WILAYA YA MBOGWE MHE.SAKINA JUMANNE MOHAMED AKUTANA NA WAZIRI WA MAJI PAMOJA NA KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI.
Leo tarehe 10 June 2024 Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Mhe.Sakina Jumanne Mohamed akiambatana na katibu Tawala wa Mbogwe pamoja Meneja Usambazaji Maji kutoka Mamlaka...
MABORESHO YA HUDUMA
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) Mhandisi Frank Changawa ameanza zoezi la ufuatiliaji wa maeneo yenye changamoto...
MKUU WA WILAYA YA GEITA AMEISISITIZA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA GEITA KUKAMILISHA MRADI WA MAJI WA NYANKANGA KABLA YA MWEZI JULAI 2024.
Mhe:Hashim Komba amesema hayo katika ziara yake katika eneo la utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Utanuzi wa Mtambo wa Kutibu Maji Nyankanga ambapo amepata taarifa...
MKURUGENZI MTENDAJI WA GEUWASA AKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI BULELA - NYASEKE NA SHILOLELI
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafiri wa Mazingira Geita (GEUWASA) Mhandisi Frank Changawa ametembelea eneo la utekelezaji wa Mradi wa Maji wa B...
Wizara ya Maji Namba Moja Duniani kwa kazi za miradi ya Maji
Utendaji wa Wizara ya Maji na taasisi zake umeifanya kutambulika kimataifa ndani na nje ya bara la Afrika kwa kazi na utekelezaji wa miradi ya maji............
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Geita akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa serikali za mitaa mjini Geita.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Geita akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa serikali za mitaa mjini Geita.
Hello March To Our Customer
Hello March To Our Customer,Bill za mwezi February tayari zimesha toka sasa unaweza kulipia kupitia simu yako ya kiganjani kwa msaada zaidi wasiliana nasi kupit...
KATIKA KUADHIMISHA KILELE CHA MASHINDANO YA MAJI MKOANI MOROGORO
katika kuadhimisha kilele cha wiki ya Maji, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita (GEUWASA) ilikipiga na Team ya Mamlaka ya Maji ya Korongwe, G...

