Habari
ZIARA YA WAJUMBE WA BODI MENEJIMENTI NA WATUMISHI WA GEUWASA KATIKA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA BABATII
Ziara ya Wajumbe wa Bodi Menejimenti na Watumishi wa GEUWASA walipotembelea Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Babati ( BAWASA ) kwa ajili ya kubadilishana uzoefu katika utendaji kazi wa kusimamia Miradi,kupunguza upotevu wa Maji na kuongeza mapato katika Mamlaka ili kufanya huduma ya Maji kuwa endelevu kwa Wananchi.