emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Habari

WAKAZI WA WIGEMBYA WAFURAHIA HUDUMA YA MAJI BAADA YA KUKOSA HUDUMA HIYO KWA MUDA.


Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe.Hashim Komba aipongeza Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) kwa kuendelea kuimarisha huduma ya Maji kwa wakazi wa Wigembya ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakisubiri huduma hiyo. Aidha Mhe.Hashim Komba ameweka jiwe la msingi ikiwa ni ishara ya kuunga mkono jitihada za Mamlaka kuhakikisha huduma ya maji inakuwa endelevu.