emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

  1. Mteja anapaswa kulipia Ankara yake ya Maji.
  2. Mteja anajukumu la kutambua upotevu wa Maji katika eneo lake husina na kulitolea taarifa GEUWASA kwa kupia bure 0800750060 au kufika ofisini kwetu moja kwa moja

Dira ya Maji itabaki kuwa ni mali ya GEUWASA na inapaswa kuwa sehemu itakayo mwezesha mtumishi wa GEUWASA kuifikia kiurahisi.

Unit 1 ni sawa na lita za ujazo 1000 na ni sawa na Ndoo 50 za lita 20.

Maunganisho Mapya yanafanyika ndani ya siku 7 baada ya malipo kufanyika.

Although GEUWASA is a nonprofit organization, subscription fees help to offset costs for materials, transport, employing administrative staff and specialists, maintaining and expansion of water.

Gharama ya maunganisho inategemea na aina ya Bomba ambalo unachukulia na umbali kutoka mahala huduma inapo takiwa hadi kwenye Bomba kuu.

Katika kupamba na upotevu wa Maji unaosababisha .

  • Mitandao yote ya Maji ile ya zamani ambayo imekuwa ikipasuka mara kwa mara tunaibadilisha
  • Katika kupambana na hili katika kila kanda tutafunga Back meter ili kuweza kutambua ni wapi Maji yana potelea
  • Kutambua chemchem zote: Pia tumeanza kutembelea chem chem zote na kuchukua sample ili kujua ni chemchem au ni Maji yetu.
  • Kitengo cha dharura : Mamlaka imeanzia kitengo cha dharura ambacho kinafanya kazi masaa 24 ili kuzibiti upotevu kwa wakati.

Sisi kama Mamlaka tunajitahidi kuhakikisha Mji wote wa Geita pamoja na viunga vyake vyote vinapata Maji Safi na salama kwa kutekeleza yafuatayo:

  • Tumeanzisha ujenzi wa Tank kubwa la Maji katika vile vitongoji ambavyo vilikua havipati maji.
  • Tumeanza kutanua mtandao wa Maji ambao utasaidia yale maeneo yote korofi kupata Maji angalau kwa wiki mara nne huku tunasubiria mradi wa Tank kubwa ukamilike.