Habari
MAJI EXTRA
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita ( GEUWASA ) Mhandisi Frank Changawa akizungumzia hali ya upatikanaji wa huduma ya Maji Geita pamoja na utekelezaji wa Miradi mbalimbali katika kituo cha matangazo Storm FM.