Matangazo
BILI / ANKARA YA MWEZI JULAI.
Ndugu mteja fahamu kuwa bili/ankara kwa matumizi ya Julai 2024 zimeshatumwa kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno ( SMS ).Fanya malipo yako sasa kwa kutumia mitandao ya simu au Benki washirika.
kwa msaada zaidi wasiliana nasi kwa namba 0800750060.