emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Terms & Conditions

Tovuti hii ina taarifa ya utoaji wa huduma ya majisafi na uondoaji wa majitaka katika Mji wa Geita. Haya ni masharti ya matumizi kwa tovuti hii. Ukiendelea kutumia tovuti hii inathibitisha kukubali vigezo hivi.