Dhamira na Dira
Dira
“Mamlaka yenye ufanisi wa hali ya juu katika utoaji huduma ya majisafi na salama na usafi wa mazingira katika hali endelevu”
Dhamira
“Utoaji wa huduma ya majisafi na salama na ya uhakika na usafi wa mazingira kwa wateja wa Mamlaka walioko Mjini Geita na nje ya Mji wa Geita kwa ufanisi wa hali ya juu, kuwa na watumishi wenye shauku, bidii ya kazi na wanojituma; kutumia teknolojia inayokubaliana na mazingira na kuendelea kujibadilisha zaidi ili kuongeza ufanisi”.