Habari
UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MAJI KATIKA KATA YA IHANAMILO
Baada ya kilio cha muda mrefu kwa wakazi wa Ihanamilo Mtaa wa Wigembya hatimaye Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) imewafikia na kuimarisha huduma ya Maji katika kisima tegemezi cha Mtaa wa Wigembya.