emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Habari

MKUU WA WILAYA YA MBOGWE MHE.SAKINA JUMANNE MOHAMED AKUTANA NA WAZIRI WA MAJI PAMOJA NA KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI.


Leo tarehe 10 June 2024 Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Mhe.Sakina Jumanne Mohamed akiambatana na katibu Tawala wa Mbogwe pamoja Meneja Usambazaji Maji kutoka Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita ( GEUWASA ) Eng Isack Mgeni wamepata wasaa wa kukutana na Waziri wa Maji pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Maji. Lengo ni kutimiza adhima ya Mhe. Rais Dkt.Samia Suhulu Hassan ya kuboresha huduma ya Maji.