emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Matangazo

JE WAJUA HASARA ZA KUTOKULIPA BILI ZA MAJI KWA WAKATI?


1. Mteja kusitishiwa huduma ya maji. 2. Mteja kulipa gharama za faini ya kurejeshewa huduma iwapo huduma itasitishwa. 3.Mteja ataanza upya mchakato wa maombi ya kuungiwa huduma endapo mtandao wa maji utaondolewa. 4.Kukwamisha jitihada za Mamlaka kuboresha huduma.