Habari
Wajumbe wa Board wa itembelea ofisi ya huduma kwa wateja
Wajumbe wa Board ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita [GEUWASA], wafanya zihara katika ofisi za huduma kwa Wateja na kupokea maelekezo kutoka kwa Afisa Biashara Mkuu wa GEUWASA.