Habari
TAARIFA KWA UMMA
Kama umesitishiwa huduma ya Maji kutokana na Deni,sasa unaweza kurudishiwa huduma ya Maji bila kulipa faini na kulipa deni lako kwa awamu
1.Fika ofisi ya GEUWASA ili kujaza Mkataba wa Malipo ya Awamu.
2.Ofa hii ni kuanzia tarehe 20 hadi tarehe 30 ya mwezi September 2021.[ wasiliana nasi bure 0800750060]