Habari
Wajumbe wa Board wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira [GEUWASA] wafanya ziara katika vyanzo vya Maji
Wajumbe wa Board wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira GEUWASA, leo wametendelea vyanzo vikuu vya Maji katika Mji wa Geita wakiambatana na Mkurugenzi Mtendaji Eng Frank Jacob Changawa pamoja na Wahandisi wa Maji.