emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Habari

GEUWASA YAWAPA TABASAMU WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MBUGANI.


Watumishi wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbugani Kitengo cha Elimu maalumu mara baada ya kuwatembelea na kuwakabidhi baadhi ya mahitaji ya kila siku Wanafunzi hao siku ya tarehe 14 Februari 2026.