Habari
GEUWASA YASHIRIKI MKUTANO WA BODI ZA WAKURUGENZI NCHINI.
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Bi. Patricia Sam Kampambe wameshiriki Mkutano wa Bodi za Wakurugenzi wa Mamlaka za MajiSafi na Usafi wa Mazingira nchini unaondelea Jijini Arusha.

