Huduma Zetu
USOMAJI WA DIRA ZA MAJI SHIRIKISHI
Nihaki ya mteja kupata elimu ya usomaji wa Dira yake pindi msomaji wa Dira anapopita katika zoezi maalumu la usomji pia ni wajibu wa msoma Dira za Maji kusoma na kutoa elimu juu ya usomji,utunzji na utoaji wa taarifa pindi Dira hiyo ikipata hitilafu yoyote.