Habari
SALAMU ZA PONGEZI.
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa GEUWASA tunakupongeza Bi. Rose Zacharia Ambrose kwa kuaminiwa na kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji.

