Habari
Watumishi wa GEUWASA watakiwa kuongeza juhudi katika kazi
Katika kuhakikisha watushi wa umma wanakuwa na maadili katika sehumu zao za kazi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita imewajengea uwezo wa kimaadili kwa kuwafanyia mafunzo Maalumu katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mafunzo hayo yameendeshwa na Afisa Rasilimali Watu wa Mkoa.