emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Habari

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MJI MHE.MHANDISI KUNDO KATIKA MRADI WA MAJI WA MIJI 28 MKOA WA GEITA.


Naibu Waziri wa Maji Mhe.Mhandisi kundo A.Mathew akikagua utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa na Mkandarasi Afcons Infrastructure Limited ambao unatarajia kuhudumia wakaazi zaidi ya 638,322 kutoka kwenye Kata 6 zenye Vijiji 19 kwa upande wa Geita Vijijini na Kata 13 za Geita Mjini.