Habari
WATUMISHI SEKTA YA MAJI WATAKIWA KUONGEZA KASI KATIKA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI.
Naibu Waziri wa Maji Mhe.Mhandisi Kundo A.Mathew amewataka watumishi wa Sekta ya Maji kuongeza kasi katika kutoa huduma kwa jamii,kusimamia Miradi ya Maji na kutatua changamoto za Wananchi kwa wakati.