Habari
KIKAO CHA BODI KUU YA WAKURUGENZI ROBO YA PILI MWAKA WA FEDHA 2025/2026
Leo tarehe 06/02/2026 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bi. Patricia Sam Kampambe ameongoza kikao cha Bodi Kuu ya Wakurugenzi Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA).

