emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Habari

Katika maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru....................


Katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita (GEUWASA) imewatoa hofu wananchi juu ya hali ya upatikanaji wa Maji katika kwa kuongeza vyanzo katika maeneo ya Kasamwa na Ujenzi wa Tank katika maeneo yenye changamoto wa upatikanaji wa huduma.