emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Habari

KATIKA KUADHIMISHA KILELE CHA MASHINDANO YA MAJI MKOANI MOROGORO


katika kuadhimisha kilele cha wiki ya Maji, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita (GEUWASA) ilikipiga na Team ya Mamlaka ya Maji ya Korongwe, GEUWASA iliibuka kidedea kwa kushinda Goal 7 kwa 2.