Matangazo
OFA YA MAUNGANIISHO MAPYA.
Utaratibu wa kurejeshewa huduma iliyositishwa
Ili kurejeshewa huduma ya maji kwa mteja aliyesitishiwa huduma ya maji. Mambo yafuatayo yanatakiwa kuzingatiwa.
- Mteja atatakiwa kulipa 50% ya deni au deni lote pamoja na shilingi 10,000 ada ya kurejesha huduma.
- Mteja atawasilisha risiti za malipo aliyofanya katika ofisi huduma kwa wateja.