Matangazo
MATENGENEZO YA BOMBA KUBWA.
Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita inapenda kuwatangazia wakazi wote wa Mji wa Geita kuwa kuanzia saa 6:00 mchana hakuta kuwa na huduma ya Maji hii ni kutokana na Bomba kubwa linalo toa Maji Ziwa Victoria kupasuka hivyo tunaomba radhi kwa usumbufu utakao jitokeza.