emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Matangazo

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI.


Katika kuazimisha wiki ya Maji Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Geita inapenda kuwakaribisha wateja wake wote wenye madeni sugu, kupitia ofa hii mteja ataruhusiwa kulipa deni lake kidogo kidogo pasina kulipa faini wala kukatiwa huduma ya Maji.