emblem

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita
(GEUWASA)

Matangazo

Kilele cha Shere za Wafanya Kazi


Katika kuadhimisha shere za wafanya kazi GEUWASA inapenda kuwakaribisha wateja wake wote ambao hawana uwezo wa kulipia ada yote ya Maunganisho Mapya, Mamlaka imeweka utaratibu wa malipo ya awamu utakao muwezesha mteja kulipia kwa awamu zaidi ya moja huku akiwa anaendelea kutumia huduma ya Maji