Matangazo
OFA KUBWA LAO
Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita ( GEUWASA ) inawatangazia ofa Wateja wote waliositishiwa huduma ya Maji kutokana na madeni,watarejeshewa huduma bila kulipia faini na kulipia madeni yao kwa Awamu.
Ofa hii ni kuanzia tarehe 17 Juni mpaka tarehe 30 Juni 2024.
Wasiliana nasi bure kwa namba 0800750060.