Huduma Zetu
Usambazaji wa Maji
Katika kuhakikisha Geita na viunga vyake vyote vinapata huduma ya Maji Safi na Salama, Mamlaka ya Maji GEUWASA imeendelea na ujenzi wa TANK kumbwa la kuhifadhi Maji ili kupunguza changamoto ya hali ya upatikanaji wa Maji katika Mji wa Geita